⁠Evelyne Isaack Mbede

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evelyne Isaack Mbede ni Profesa wa sayansi ya Dunia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa nyanda za juu kusini magharibi mwa Tanzania.Alijiunga na chuo kikuu cha Dar Es Salaam na kupatata shahada ya kwanza katika jiolojia mnamo mwaka 1982, pia alipata shahada ya uvamili katika Impirial Collage, University of Londona mwaka 1984[2] na kupata shahada ya uzamivu kutoka Technical University Berlin mnamo mwaka 1993[1].baada ya miaka kumi, alichaguliwa kuwa mkuuwa idala ya jiolojia chuo kikuu cha Dar es Salaam.[1] Pia alichaguliwa kuwa mkurugenzi wa sayansi na uvumbuzi katika wizara ya sayansi mawasiliano na teknolojia (2007-2016)[1] na sasa ni profesa mshiriki idara ya jiolojia ya chuo kikuu cha Dar es Salaam.[1]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Evelyne alishinda tuzo ya TWASC.N.R. Rao mwaka 2019 kupitia mchango wake kwenye utafiti wa kisayansi katika sayansi ya Dunia na majanga ya asili.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ⁠Evelyne Isaack Mbede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.