Lukas Nmecha
Mandhari
Lukas Okechukwu Nmecha (alizaliwa 14 Desemba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lukas Okechukwu Nmecha | VfL Wolfsburg | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lukas Nmecha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |