Lugha za Kipapua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kipapua ni lugha zisizo za Kiaustronesia ambazo huzungumzwa kisiwani kwa Papua nchini Indonesia na Papua Guinea Mpya. Mwanzoni, wataalamu waliangalia lugha hizo kama familia moja ya kilugha, lakini tangu pale familia tofautitofauti zilibainishwa, k.m. lugha za Kitorricelli, lugha za Kisepik, lugha za Kiramu na Kisepik ya Chini au lugha za Kivuka-Guinea Mpya.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kipapua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.