Lugha za Kitorricelli
Mandhari
Lugha za Kitorricelli ni familia ndogo ya lugha takriban hamsini ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Papua, nchini Papua Guinea Mpya.
Jina la Torricelli limetokana na milima ya Torricelli ambapo lugha hizo huzungumzwa karibu nayo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitorricelli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |