Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kiramu na Kisepik cha Chini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kiramu na Kisepik cha Chini ni familia ndogo ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Papua, nchini Papua Guinea Mpya.

Idadi ya lugha katika familia hiyo ni 35. Lugha hizo ni tofauti na lugha za Kisepik ambazo ni familia nyingine.

Majina ya Ramu na Sepik yametokana na mito ya Ramu na Sepik ambayo lugha hizo huzungumzwa karibu nayo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiramu na Kisepik cha Chini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.