Ramu (mto)
Mandhari
Ramu ni mto upande wa kaskazini wa Papua Guinea Mpya. Urefu wake ni takriban kilomita 640. Unaelekea Kaskazini-Magharibi kuanzia chanzo chake katika milima ya Kratke hadi Bahari ya Bismarck. Wakati wa mvua, mto wa Ramu huunganika na mto wa Sepik kwa mafuriko.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|