Lugha za Kiitalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Italia na lugha zake katika Zama za Chuma.

Lugha za Kiitalia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Italia. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kufikia mwanzo wa milenia ya 1 BK zote zilimezwa na Kilatini, lugha muhimu zaidi ya kundi hilo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiitalia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.