Lueyi Dovy
Mandhari
Lueyi Dovy (alizaliwa Marseille, 1975) ni mwanariadha wa Ufaransa mwenye asili ya Gabon. Pamoja na Ladji Doucouré, Ronald Pognon na Eddy De Lépine alishinda medali ya dhahabu katika mbio za kupokezanaji wa mita 4 x 100 katika Mashindano ya Dunia ya Riadha mwaka 2005.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lueyi Dovy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |