Nenda kwa yaliyomo

Ludovicus Baba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini cha Ludovicus Baba na wenzake.

Ludovicus Baba (pia anajulikana kama Louis Baba au ルイス馬場; karne ya 16 - 25 Agosti 1624) alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko kutoka Japani aliyeuawa kwa ajili ya imani yake.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 7 Julai 1867.[1][2]

  1. Fros SJ, Henryk "Book of names and saints", pp. 423–37, 2007 ISBN 978-83-7318-736-8
  2. "Martirologio", Roman Curia Pontifical Academies
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.