Lucretia Longshore Blankenburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Lucretia Longshore Blankenburg
AmezaliwaMei 8, 1845
Amefariki28 Machi 1937
Kazi yakemwanaharakati wa masuala ya kijamii, mwanamageuzi wa kiraia, na mwandishi wa nchini Marekani


Lucretia Longshore Blankenburg (Mei 8, 184528 Machi 1937) alikuwa mwanaharakati wa masuala ya kijamii, mwanamageuzi wa kiraia, na mwandishi wa nchini Marekani.

Katika kipindi hicho kuanzia mwaka 1892 hadi 1908, alifanya kazi kama raisi wa shirika la Woman Suffrage Association.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Williams, Mariam (2 June 2017). Lucretia Longshore Blankenburg. Encyclopedia of Greater Philadelphia.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucretia Longshore Blankenburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.