Nenda kwa yaliyomo

Lucas Perri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucas Estella Perri (alizaliwa 10 Desemba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili, ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Por Marcelo Hazan e Marcelo PradoSão Paulo (2015-03-03). "São Paulo promove goleiro de 1,96m de altura para substituir Denis". globoesporte.com (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Perri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.