Nenda kwa yaliyomo

Lucas Beraldo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beraldo akiwa na São Paulo 2022

Lucas Lopes Beraldo (alizaliwa 24 Novemba 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazil, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Brazil.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. SPFC NÃO É UM CLUBE É UM *** SENTIMENTO *** (2023-05-26), Beraldo falou que excesso de sorriso é uma estratégia. (GE/SP 26/05/23), iliwekwa mnamo 2024-06-19
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Beraldo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.