Nenda kwa yaliyomo

Luca Sito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luca Sito

Luca Sito (alizaliwa 12 Mei 2003) ni mwanariadha nchini Italia ambaye alishinda medali za fedha kama sehemu ya timu ya Italia iliyochanganyika ya mbio za mita 4x400 za kupokezana vijiti na katika mbio za wanaume za kupokezana vijiti za mita 4x400 katika mashindano ya riadha ya Uropa mwaka 2024 huko Roma.[1]

  1. "Luca Sito".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luca Sito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.