Lorraine Loots

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lorraine Loots ni msanii wa sanaa za picha kutoka Cape Town, Afrika Kusini. Amekuwa akitengeneza picha za duara zenye mandhari nyeupe, picha ambazo zilimpa umaarufu zaidi mnamo mwaka 2013 ambapo alikuja na mradi wa sanaa uloitwa 365 Paintings. Picha zake nyingi alikuwa akizichapisha katika mitandao ya kijamii, mradi huo ulimpa faida kubwa baada ya kuanza kuonyeshwa katika vituo vya CBS na CNN,[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorraine Loots kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.