Liya Kebede

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Liya Kebede
Liya Kebede at the 2008 Tribeca Film Festival.JPG
Alizaliwa 1 Machi 1978 (1978-03-01) (umri 43)
Addis Ababa, Ethiopia
Kazi yake Mwigizaji
Mwanamitindo

Liya Kebede (amezaliwa tar. 1 Machi 1978, Addis Ababa, Ethiopia) ni mwigizaji filamu na mwanamitindo kutoka nchini Ethiopia.

Filamu alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

  • The Good Shepard (2006)
  • Desert Flower (2009)
  • Black Gold (2011)
  • Sur la piste du marsupilami (2012)
  • The Best Offer (2013)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liya Kebede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.