Nenda kwa yaliyomo

Liv and Maddie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni logo yao.

Liv and Maddie (inajulikana pia kama Liv and Maddie: Cali Style katika awamu ya nne)[1] ni safu ya vipindi vya vichekesho vya televisheni kutoka Marekani ambayo imeundwa na John D. Beck na Ron Hart na kufanyika kwenye Disney Channel kuanzia tarehe 19 Julai 2013 hadi 24 Machi 2017.

Kipindi hicho cha televisheni kina mafunzo mengi na kuonyesha juu ya familia ya Rooneys yenye watu sita. Hadithi hiyo inafuatia maisha ya kila siku ya marafiki bora Liv na Maddie Rooney.

Wahusika wa mfululizo huo ni Dove Cameron, Joey Bragg, Tenzing Norgay Trainor, Kali Rocha, Benjamin King, na Lauren Lindsey Donzis.

  1. Marc Snetiker (Agosti 19, 2016). "Liv and Maddie Gets New Title for Final Season". Entertainment Weekly. Iliwekwa mnamo Agosti 19, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu kipindi fulani cha televisheni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liv and Maddie kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.