Lisa Goddard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lisa Marie Goddard (Septemba 23, 1966Januari13, 2022) ni Mmarekani ambaye alikuwa mtaalamu wa mababadiliko ya tabia nchi na mkurugenzi wa International Research Institute for Climate and Society (IRI). Alijiunga na tasisi hio mwaka 1995[1] na kufanya kazi kama mkurugenzi kuanzia mwaka 2012 hadi 2020.[2] Goddard alikua pia Profesa mshiriki aliyefundisha chuo kikuu cha Kolumbia.[3]

Tafiti zake zilijikita kwenye mbinu za utabiri,utabiri wa misimu ya mabadiliko ya tabia ya nchi,utabiri wa mabadiliko ya tabia nchi haswa kuelezea modeli za tabia nchi na hali iliyoonekana.[4][5] Alihusika katika shughuli za mpango wa utafiti wa hali ya hewa duniani na alifanya kazi hio kama mwenyekiti mwenza wa CLIVAR kutoka 2013 hadi 2015.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Clay Risen. "Lisa Goddard, 55, Dies; Brought Climate Data to Those Who Needed It", The New York Times, January 22, 2022. 
  2. "Lisa Goddard, 9/23/1966-1/13/2022". Columbia Climate School International Research Institute For Climate And Society. January 14, 2022.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Curriculum Vitae: Lisa Goddard". Columbia University. 
  4. Kevin Karjick (January 21, 2022). "Lisa Goddard: Led Global Efforts to Advance Near-Term Climate Forecasting". Columbia Climate School.  Check date values in: |date= (help)
  5. "Lisa Goddard". Aspen Global Change Institute. 
  6. "In Memoriam Lisa Goddard". World Climate Research Programme. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Goddard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.