Linda Sokhulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Linda Sokhulu ni mwigizaji wa filamu wa Afrika Kusini; mwaka 2014 alipokea tuzo ya Africa Movie Academy Award kama mwigizaji bora wa kike.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia mwaka 2004 aliigiza kama Cleo Khuzwayo katika tamthilia ya Generations.[1] Mnamo Mwaka 2013, Sokhulu aling'ara katika filamu ya kwanza aliyoshirikishwa kama nyota katika filamu ya Felix, alipata kuingia katika tuzo ya South African Film and Television Awards na Africa Movie Academy Awards akiwa kama muigizaji bora wa kike.[2] pia alishinda tuzo katika tamasha la Durban International Film Festival.[3][4][5] Mwaka 2007,

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • Isidingo [6]
 • Generations (2004 - 2007)
 • A Place Called Home (2006)
 • Ubizo: The Calling (2007)
 • Shreds and Dreams (2010 & 2014)
 • Felix (2013)
 • Rhythm City (2019)

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sokhulu alizaliwa tarehe 13 Septemba 1976 katika mji wa Durban, pia alitumia miaka yake mingine katika mji wa Umlazi.[7] alisoma katika chuo cha Cambridge College mwaka 1994 na kujifunza fasheni huko Technikon Natal.[8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. admin (2017-11-01). Linda Sokhulu biography.
 2. Full list of nominees for 2014 Africa Movie Academy Awards (2017-03-03). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-07-28. Iliwekwa mnamo 2020-11-18.
 3. Linda Sokhulu on her movie debut (2013-09-12). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-09-20. Iliwekwa mnamo 2020-11-18.
 4. admin (2017-11-01). Felix wins Audience Award at Durban International Film Festival.
 5. reporter (2017-11-11). Felix wins three more awards.
 6. Ijozi (2017-11-01). Beauty treatment goes wrong for Isidingo actress Nikiwe sibeko ‘Linda Sokhulu’. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-10-24. Iliwekwa mnamo 2020-11-18.
 7. Linda Sokhulu is 40 today.
 8. WHO IS LINDA SOKHULU?. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2020-11-18.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Sokhulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.