Lila Iké
Mandhari
Lila Iké (jina la kuzaliwa Alecia Tameka Grey; 23 Januari 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa reggae kutoka Jamaika.[1]
Baada ya kutoa nyimbo kadhaa, Iké aliachia albamu yake ya kwanza ya studio The ExPerience mnamo Mei 2020.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lila Iké's timeless tunes are pushing her through the reggae ranks". The FADER (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
- ↑ "Lila Iké Is Singing Jamaica's New Era of Redemption Songs". VICE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
- ↑ "Jamaica Observer Limited". Jamaica Observer. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
- ↑ "Biography: Lila Iké". Reggaeville (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-23.