Leslie Hope

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Leslie Hope
Amezaliwa Leslie Ann Hope
6 Mei 1965 (1965-05-06) (umri 55)
Halifax, Nova Scotia, Kanada
Ndoa Jamie Angell
(1994–1996) mtoto 1

Leslie Hope (amezaliwa tar. 6 Mei 1965 mjini Halifax, Nova Scotia) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Kanada. Amepata kuonekana katika filamu na tamthilia za Kikanada na Kimarekani. Alimaliza elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Mt. Michael kilichopo mjini Victoria, British Kolumbia, mnamo mwaka wa 1982. Ameolewa na sinematografa, mtayarishaji na mwongozaji Adam Kane. Hope, huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Terri Bauer katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leslie Hope kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.