Victoria, British Kolumbia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Victoria Inner Harbour pamoja na The Empress hotel kwa nyuma

Victoria ni mji mkuu wa mkoa wa British Kolumbia, Kanada. Mji umepewa jina hili baada ya Malkia Victoria.

Zaidi ya watu 300,000 wanaishi kwenye mji huu wa Victoria. Watu wengi waishio mji huu hufanya kazi serikalini au kwenye sekta ya utalii. Mji una joto sana wakati huo kuliko miji mingine ya Kanada, Wakanada wengi huama pale wanapo stahafu kazi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Victoria, British Kolumbia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.