Lena Oberdorf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lena Sophie Oberdorf

Lena Sophie Oberdorf (alizaliwa 19 Desemba 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo katika timu ya wanawake ya VfL Wolfsburg na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Ujerumani. [1][2][3]

Alizaliwa katika mji wa Gevelsberg. Alichaguliwa katika kikosi cha wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2019.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-13. 
  2. "Lena Sophie Oberdorf - Spielerinnenprofil". DFB Datencenter (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2024-04-13. 
  3. "Wolfsburg verpflichtet Nationalspielerin und Top-Talent Oberdorf". kicker (kwa de-DE). Iliwekwa mnamo 2024-04-13. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lena Oberdorf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.