Lawrence Akandu
Mandhari
Lawrence Chimezie Akandu (Kichina: 羅倫士, alizaliwa 10 Desemba 1974 nchini Nigeria) ni mchezaji wa kandanda wa Hong Kong ambae pia ni mzaliwa wa Nigeria ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Hoi Fan katika ligi ya Campeonato da 1ª Divisão do Futebol.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Ushiriki Wa Awali Akandu alianza uchezaji wake na kujitambulisha kama mshambuliaji wa kati lakini amekuwa akicheza kama beki.
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Akiwa Na Kitchee
- Ligi ya Daraja la Pili ya Hong Kong: 2002-03
Takwimu Za Ushiriki
[hariri | hariri chanzo]Kufikia Novemba 14, 2009
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dudu Omagbeni przed debiutem – Wislakrakow.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 4 Mei 2010.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lawrence Akandu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |