Laura O'Connell Rapira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laura O'Connell Rapira (alizaliwa mnamo 1988) ni kiongozi wa ngazi ya chini, msemaji na mwanaharakati wa jamii kutoka Aotearoa (New Zealand).[1][2] Wanatetea usawa juu ya ukabila, jinsia na jamii za LGBTIAQ, mazingira na nguvu ya kisiasa kwa vijana.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

O'Connell Rapira alizaliwa Taranaki [3] na baadaye alihamia Auckland Magharibi, alisoma shule ya Upili ya Green Bay.[4]Alihimizwa kufanya kazi kwenye sherehe kubwa nchini Uingereza na aliendelea kufanya kazi kwenye Glastonbury Festival na Secret Garden Party.[5][6]

Kama kijana alikuwa sehemu ya kuongeza kasi ya mipango ya biashara kwenye jamii.mnamo 2014 O'Connell Rapira alianzisha kampuni ya RockEnrol ili kuhimiza vijana kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa New Zealand.[7][8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rapira, Laura O'Connell (15 July 2018). "Free speech as a cover for hate". Medium (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Ani-Oriwia Adds (21 July 2017). "Rising Star finalist Laura O'Connell Rapira the new face of activism". Māori Television (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. McLaren, Esther (18 July 2017). "Laura O'Connell Rapira". The Generosity Journal (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-09. Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Our staff and volunteers". ActionStation (kwa en-NZ). Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "On culture, young people and activism by Laura O'Connell Rapira". Storyo (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Laura O'Connell Rapira". Māori Television (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Laura O'Connell Rapira". NZHistory, New Zealand history online. New Zealand Ministry for Culture and Heritage. Iliwekwa mnamo 9 July 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Laura O'Connell Rapira". Inspiring Stories (kwa en-NZ). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-22. Iliwekwa mnamo 22 July 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laura O'Connell Rapira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.