Laura Bush

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laura Bush.

Laura Bush (jina la kuzaliwa: Laura Lane Welch amezaliwa tar. 4 Novemba 1946 mjini Midland, Texas) ni mke wa rais wa Marekani Bw. George W. Bush. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch (1912-1995) na Jenna Louise Hawkins (aliz. 1919). Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa 1977. Laura ni mama wa Barbara Bush na Jenna Bush, ambao walizaliwa mapacha mnamo mwaka 1981. Kabla ya kuwa mke wa Rais, Laura alikuwa akifanya kazi ya uwalimu wa shule katika mji wa Dallas na Austin, Texas.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laura Bush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wake wa Marais wa Marekani
M. Washington · A. Adams · M. Jefferson Randolph · D. Madison · E. Monroe · L. Adams · E. Donelson · S. Jackson · A. Van Buren · A. Harrison · J. Harrison · L. Tyler · P. Tyler · J. Tyler · S. Polk · M. Taylor · A. Fillmore · J. Pierce · H. Lane · M. Lincoln · E. Johnson · J. Grant · L. Hayes · L. Garfield · M. McElroy · R. Cleveland · F. Cleveland · C. Harrison · M. McKee · F. Cleveland · I. McKinley · Edith Roosevelt · H. Taft · Ellen Wilson · Edith Wilson · F. Harding · G. Coolidge · L. Hoover · E. Roosevelt · B. Truman · M. Eisenhower · J. Kennedy · C. Johnson · P. Nixon · B. Ford · R. Carter · N. Reagan · B. Bush · H. Clinton · L. Bush · M. Obama