Abigail Adams
Mandhari
'
Abigail Adams | |
---|---|
Benjamin Blyth, 1766 | |
Amezaliwa | Novemba 22, 1744 |
Amefariki | Oktoba 28, 1818 |
Kazi yake | mshauri wa karibu zaidi wa John Adams |
Abigail Adams (alijulikana pia kama Smith; Novemba 22, 1744 - Oktoba 28, 1818) alikuwa mke na mshauri wa karibu zaidi wa John Adams, na pia alikuwa mama wa John Quincy Adams.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Barbara Bush, matriarch of Bush dynasty, dies at 92". David Cohen. Politico. Aprili 17, 2018. Iliwekwa mnamo Novemba 27, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abigail Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |