Latifa Mtobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Latifa Mtobi
AmezaliwaLatifa Mtobi
Majina mengineTanita
Kazi yakeMwigizaji, mtayarishaji wa filamu,

Latifa Mtobi (maarufu kama Tanita; amezaliwa Tanga mwaka 1992) ni mwigizaji wa filamu wa Tanzania.

Ameanza tasnia ya Bongo movie kwa Tuesday Entertainment, anapendelea kuogelea na riadha.

Yuko pamoja na waigizaji wengine katika tamthilia ya Millosis inayorushwa TBC1 kutoka kwa Director Tuesday Kihangala.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Latifa Mtobi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.