Latifa Jbabdi
Mandhari
Latifa Jbabdi (amezaliwa Tintiz uliopo Moroko ya kusini[1][2], 1995) ni mwanaharakati na mwandishi wa Moroko. Anajulikana kwa kazi za kusaidia na kuboresha haki za wanawake kupitia taasisi ya madawa Moroko inayojiusisha na kanuni za kifamilia za kuongoza maisha katika familia. Pia aliwahi kua mjumbe wa baraza la wawakilishi kuanzia 2007 hadi 2011.
Maisha ya awali, Elimu, Harakati za vijana
[hariri | hariri chanzo]Latifa Jbabdi alimaliza elimu yake katika mji alikozaliwa na kuendelea katika mji wa Agadir[3].[4]Akiwa kama mwanafunzi alijihusisha na vuguvugu la wanaharakati wa vijana kwa kipindi hicho.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mrs. Latifa Jbabdi | Conseil National des Droits de l'Homme". www.cndh.org.ma. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
- ↑ "Latifa Jbabdi, icône du féminisme engagé". Medias24 (kwa Kifaransa). 2019-03-11. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
- ↑ Osire Glacier, PhD. "Latifa Jbabdi (1955 – ) ou un chapitre du féminisme au Maroc | Études marocaines, Osire Glacier" (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
- ↑ "Latifa Jbabdi". IFIT (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-17. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.