Agadir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marina

Agadir ni mji ambao upo Moroko wenye wakazi 742.130.

Mji huo ni makao makuu ya mkoa wa Souss-Massa-Daraâ.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Agadir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.