Lasha Bekauri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lasha Bekauri(alizaliwa 26 Julai 2000) ni mwanamichezo wa judo ya Georgia[1].

Alishinda medali ya dhahabu kwenye shindano la wanaume wa kilo 90 kwenye mashindano ya Olimpiki ya majira ya joto 2020, Tokyo nchini Japan[2]. Pia alishinda medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Dunia ya Judo 2019 na ya ubingwa wa Judo barani Ulaya 2021.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ქართული სპორტი". sport.gov.ge. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  2. IOC (2018-04-23). "Tokyo 2020 Summer Olympics - Athletes, Medals & Results". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-27.