La Mamounia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lango la kuingilia La Mamounia

La Mamounia ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano huko nchini Moroko. Inatazamana na safu ya milima ya Atlas na ipo katika mji mkongwe wa Marrakech.[1][2][3]

Hoteli hii ilijengwa mnamo mwaka 1929 na Henri Prost pamoja na Antoine Marchisio kwenye eneo lenye hekari 15 za Jumba la kifalme na bustani ambayo Sultan Mohammed ben Abdallah alimpa mwanae Moulay Mamoun katika Karne ya 18.[4]

Hoteli hii ilikuwa sehemu ya kuigizia filamu ya Alfred Hitchcockya mwaka 1956, The Man Who Knew Too Much, ikiwahusisha James Stewart na Doris Day.[5]

Kichanja cha Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Coordinates: 31°37′15″N 7°59′50″W / 31.62083°N 7.99722°W / 31.62083; -7.99722