Utafiti wa mwaka 2019 (Pew Global Research Poll): Asilimia ya wakazi wanaokubali ushoga uwe halali katika jamii: 0-10% 11-20% 21-30% 31-40% 41-50% 51-60% 61-70% 71-80% 81-90% 91-100% Hakuna taarifa
LGBT (au LGBTQIA+) ni kifupisho cha Kiingereza kinachojumlisha watu wanaojiona au kujiita wasagaji, mashoga, wenye jinsia mbili, wasenge, queer, intersex na wasio na jinsia. Watu hao pengine wanabaguliwa.[1]
Hali ya kisheria ya ndoa za jinsia moja katika majimbo kote ulimwenguni. Ndoa wazi kwa wapenzi wa jinsia moja Vinakubaliwa vyama vya kiraia Ndoa ya watu wa jinsia moja hutambuliwa kikamilifu inapofanywa katika maeneo fulani ya mamlaka Hata vyama vya watu wa jinsia moja havitambuliwi kisheria