Kylie Minogue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kylie Minogue
Kylie Minogue, mnamo 2018.
Kylie Minogue, mnamo 2018.
Jina Kamili Kylie Ann Minogue
Jina la kisanii Kylie Minogue
Nchi Australia
Alizaliwa 28 Mei 1968
Aina ya muziki Pop
dance-pop
Europop
Hi-NRG
Eurodance
R&B
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1987–hadi leo (mwimbaji)

1979–hadi leo (mwigizaji)

Ala Sauti

Kylie Ann Minogue (alizaliwa Melbourne, Australia, 28 Mei 1968) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu wa Australia. Alianza kujibebea umaarufu kunako miaka ya 1980, kwa sababu ya kucheza katika moja ya sehemu ya tamthilia ya Neighbours, kabla ya kuwa dansa-mwimbaji wa pop.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kylie Minogue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.