Kylian Hazard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Huyu ni Kylian Hazard

Kylian Hazard (alizaliwa 5 Agosti 1995) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa klabu ya Cercle Brugge. Anao kaka wawili, Edeni na Thorgan, na mdogo mmoja, Ethan, wote ni wacheza mpira.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Újpest[hariri | hariri chanzo]

mnamo 27 Juni 2015, Hazard alisaini mkataba wa miaka tatu na upande wa Hungary katika klabu ya Újpest. Hazard alichezza kwa mara ya kwanza tarehe 18 Julai 2015 dhidi ya Paksi FC ambayo ilimalizika kwa sare ya 0-0.Tarehe 21 Novemba 2015, Hazard alifunga goli lake la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Honvéd.

Chelsea F.C.[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 29 Agosti 2017, Hazard alijiunga na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, na akawekwa katika kikosi cha klabu Chelsea,na alikubali mpango mpya wa miaka miwili na alitumwa kwa mkopo katika klabi ya Cercle Brugge kwa mkopo wa muda mrefu.

Cercle Brugge[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 5 Mei 2019, ilitangazwa kuwa Kylian Hazard katika klab ya Cercle Brugge ni mchezaji wa kudumu na sio kwa mkopo tena.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kylian Hazard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.