Nenda kwa yaliyomo

Ky-Mani Marley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marley mwaka 2014.

Ky-Mani Marley (alizaliwa 26 Februari 1976)[1] ni mwanamuziki wa reggae kutoka Jamaika.

Mnamo mwaka 2001, alipokea uteuzi wa Tuzo ya Grammy kwa albamu yake Many More Roads. Yeye ni mtoto pekee wa mwanamuziki wa reggae Bob Marley na Anita Belnavis, ambaye ni bingwa wa table tennis kutoka Jamaika.[2][3][4][3][5]

  1. Ankeny, Jason. "Ky-Mani Marley Biography". AllMusic.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ky-Mani Marley headlines return of Reggae in the Desert". Las Vegas Review-Journal (kwa American English). 2022-06-08. Iliwekwa mnamo 2023-02-23.
  3. 3.0 3.1 "Ky-Mani Marley headlines return of Reggae in the Desert". Las Vegas Review-Journal (kwa American English). 2022-06-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-08. Iliwekwa mnamo 2023-02-23.
  4. "**CANCELLED** Ky-Mani Marley - The UC Theatre Taube Family Music Hall". theuctheatre.org. Iliwekwa mnamo 2023-02-23.
  5. DelGallo, Alicia. "Ky-Mani Marley to perform at Orlando City Stadium for Florida Cup 2019", ProSoccerUSA.com, November 13, 2018. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ky-Mani Marley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.