Nenda kwa yaliyomo

Kwanja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwanja (pengine pia fyekeo, kutoka kitenzi "kufyeka"; kwa Kiingereza slasher) ni zana nyembamba inayotumika kwa ajili ya kukata nyasi hasa bustanini.

Inatengenezwa kwa bamba la bati lililopinda mbele lilipo na makali pande zote mbili. Urefu wake ni mita moja au moja na robo hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.