Nenda kwa yaliyomo

Kusajili kampuni (Kenya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusajili kampuni katika nchi ya Kenya, mojawapo ya Nchi zinazostawi iliyoko Mashariki mwa Bara la Afrika, huwa umekumbwa na matatizo kadhaa ukilinganisha na mataifa yaliyostawi kiuchumi kama vile Uingereza.

Urahisi wa kufanya Biashara

[hariri | hariri chanzo]

Jedwali lifuatalo linaonyesha urahisi/ugumu wa kuendesha biashara nchini Kenya kwa kuzingatia ugumu wa kupata idhini za biashara mbalimbali kutoka kwa serikali.

Urahisi wa... Alama ya kuendesha Biashara (2010) Alama ya kuendesha Biashara (2009) Mabadiliko ya Alama
Kufanya Biashara 95 84 11
Kushughulika na idhani za Ujenzi 124 110 -14
Kuajiri Wafanyikazi 34 13 -21
Kusajili Rasilimali 0 1 2
Kupata Mkopo 0 1 2
Kuchungwa kwa wawekezaji 0 1 2
Kulipa Ushuru 0 1 2
Kutekeleza Biashara kati ya Mataifa 0 1 2
Kuhakikisha Upitishaji wa Mkataba 0 1 2
Kufunga Biashara 0 1 2

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kusajili kampuni (Kenya) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.