Kunyanyua vyuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lasha Talakhadze akiwa ameinua chuma ya kg473
Mfano wa vyuma vya mazoezi.

Kunyanyua vyuma ni moja ya mazoezi maarufu kwa ajili ya kujenga nguvu na kukuza mifupa. Mazoezi ya aina hii hufanywa kwa kunyanyua vyuma vyenye uzito wa aina mbalimbali.

Michezo mbalimbali duniani hutumia aina hii ya mazoezi kuimarisha nguvu na afya za wachezaji. Michezo hii ni kama vile mpira wa kikapu, mpira wa miguu, mpira wa magongo, riadha, mieleka, n.k.

Pia ni mchezo mmojawapo ambao toka zamani unafanyika katika Olimpiki.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kunyanyua vyuma kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.