Nenda kwa yaliyomo

Kula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtoto akiwa anakula yogati
Panya akiwa anakula mahindi

Kula ni kitendo cha kiumbe hai kuingiza chakula ndani ya mwili wake kupitia mdomo wake. Kula humfanya kiumbe hai kuwa na nguvu. Viumbe hai wanahitaji kula ili miili yao iendelee kufanya kazi.

Matatizo mbalimbali ya kiafya yanaweza kutokea kiumbe asipopata mlo kamili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kula kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.