Jumla
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kujumulisha)
Katika hisabati, jumla (kwa Kiingereza: addition) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, utoaji na dharuba). Jumla ni kinyume cha utoaji. Alama ya jumla ni "+".
Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha thamani ya namba moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kinyondo, A. R. Mazoezi ya hisabati kwa kadi. Dar es Salaam University Press.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jumla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |