Kubango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kubango (pia: Cubango) ni jina la mto Okavango katika nchi ya Angola.

Chanzo cha mto ni kwenye kimo cha 1780 m juu ya UB katika nyanda za juu za Bie mashariki ya Huambo, kilomita chache kusini ya Nova Vila.

Haielekei baharini bali kusini inapoishia katika jangwa la Botswana. Njiani inapita Namibia kwenye kishoroba ya Caprivi. Kuanzia Nambia mto huitwa kwa jina la Okavango.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Watersheds of Africa: A12 Okavango | Cubango