Kristo Numpuby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kristo Numpuby ni mpiga gitaa, mpiga bezi na mwimbaji aliyezaliwa Paris lakini alilelewa Eséka, Kamerun Kusini.

Kristo huimba hasa katika lugha ya Bassa na Kifaransa kwenye muziki wa Assiko mdundo wa kimapokeo wa misitu ya kusini mwa Kamerun, akitumia gitaa, visu, uma na vijiko, na chupa tupu kwa mpigo. Pia ametiwa moyo na mitindo mingine ya muziki ya Kameruni ( Makossa, Bikutsi ) na Jazz. [1]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kristo Numpuby sur scène". Autre Afrique. 96–104: 38. 1999. Iliwekwa mnamo 10 March 2010.  Text "l'Autre Afrique " ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristo Numpuby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.