Krioli ya Guyani ya Kifaransa
Mandhari
Krioli ya Guyani ya Kifaransa ni lugha ya Krioli inayotumiwa hasa katika Guyani ya Kifaransa na katika nchi jirani za Surinam na Gayana. Kwa Kifaransa inaitwa Créole guyanais, wenyewe wanasema Kriyòl Gwiyannen.
Ni lugha ya Krioli yenye asili ya Kifaransa, pamoja na athira za lugha za Kiafrika, Kiindio, na Kireno. Inafanana na Krioli ya Visiwa vya Karibi: kuna tofauti za msamiati na sarufi lakini kwa jumla wasemaji huelewana.
Lugha hiyo ni tofauti na Krioli ya nchi jirani Guyana (Guyanese Creole) ambayo ni lugha yenye asili ya Kiingereza.
Mifano
[hariri | hariri chanzo]Kikrioli cha Guyani ya Kifaransa /matamshi/ |
Kifaransa sanifu | Kiswahili |
---|---|---|
Bonswè /bõswɛ/ | Bonsoir | Jioni njema! (habar za jioni) |
Souplé /suːple/ | S'il vous plaît | Tafadhali |
Grémési /mɛsi/ | Merci | Asante |
Mo /mo/ | Moi, me, je | Mimi |
To /to/ | Toi, te, tu | Wewe |
I, Li /i, li/ | Lui, le, la | Yeye |
Roun /ʁuːn/ | Un, une | Moja |
Èskizé mo /ɛskize mo/ | Excusez-moi | Unisamehe |
Lapli ka tonbé /laˈpliː ka tõbe/ | Il pleut | mvua inanyesha |
Jod-la a roun bèl jou /ʒodˈla a ruːn bel ʒu/ | Aujourd'hui, il fait beau | Leo ni siku nzuri |
A kouman to fika? /a kumã to fika/ | (Comment) ça va? | habari zako? |
Mari a mo manman /maʁi a mo mãˈmã/ | Marie est ma mère | Maria ni mama yangu |
Rodolf a to frè /ʁodolf a to frɛ/ | Rodolphe est ton frère | Rodolf ni kaka yako |
I k'alé laplaj /i kaːle laˈplaʒ/ | Il va à la plage | Anakwenda mwambaoni |
Mo pa mélé /mo pa mele/ | Je m'en moque | Sijali |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Abstrak diksionnè lang peyi karibeyen (Dictionnaire abstrait des langues des pays caribéens) Riche lexique unilingue du créole
- Cérémonie de mariage en créole guyanais
- Description du créole guyanais (en anglais)
- Lexique des mots guyanais
- Philip Aaron Bull, La manifestation de l'évolution lexicale du créole guyanais à partir de textes écrits du XIX et XX, 1992
- Mots, tournures, expressions et proverbes Guyanais Ilihifadhiwa 2 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
- RFO Guyane Ilihifadhiwa 8 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Krioli ya Guyani ya Kifaransa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |