Kreta ya Ngorongoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kreta ya Ngorongoro ni kreta kubwa inayopatikana katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Iko mita 1,700 juu ya usawa wa bahari.

Ni kiini cha Hifadhi ya Ngorongoro, ambayo kwa umuhimu wake imeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa urithi wa dunia.

Mandhari ya kreta ya Ngorongoro.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]