Koumanthio Zeinab Diallo
Mandhari
Koumanthio Zeinab Diallo | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 1956 |
Kazi yake | Guinea, mwandishi wa riwaya |
Koumanthio Zeinab Diallo (alizaliwa Labé, Guinea [1], 1956) ni mshairi, mwandishi wa riwaya na mwandishi wa tamthilia wa Guinea ambaye anaandika kwa Lugha ya Kifaransa na Kifulani. [2]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Koumanthio Zeinab Diallo amefanya kazi kama mhandisi wa kilimo pia.
Mnamo mwaka 2002 yeye na Bonata Dieng walianzisha Jumba la Makumbusho la Fouta Djallon huko Labé. [3]
Kazi zake
[hariri | hariri chanzo]- oi, femme (Me, a woman), 1994.
- Pellun Gondhi, Guinée: Éditions Ganndal, 1996
- Les épines de l'amour (The Thorns of Love), Paris: L'Harmattan, 1997
- Pour les oiseaux du ciel et de la terre (For the birds of heaven and earth), UNICEF, 1997
- Comme les pétales du crépuscule (Like Petals at Dawn), Lomé: La Semeuse, 1998.
- Comme une colombe en furie, poésie pour enfants (Like a dove in fury, poetry for children), éditions Linda, 1999
- La morte de la guerre (The dead of war), 2000.
- Daado l'orpheline et autres contes du Fouta Djallon de Guinée (Daado the orphan girl, and other stories of the Guinea's Fouta Djallon), Paris: L'Harmattan, 2004
- Le Fils du roi Guémé et autres contes du Fouta Djallon de Guinée (The son of the King of Guémé and other stories of Guinea's Fouta Djallon), Paris: L'Harmattan, 2004. With a preface by Bernard Salvaing.
- Les rires du silence (The Joys of Silence), Paris: L'Harmattan, 2005
- Les humiliées (Humiliated Women), Paris: L'Harmattan, 2005.
- Ngôtté-le-génie de la chasse - conte du Fouta Djallon en Guinée (Ngôtté the hunting genius - a story of the Guinea's Fouta Djallon), Paris: L'Harmattan, 2007
- Les fous du septième ciel: Au-dela de l’excision (The madmen of the seventh heaven: Beyond circumcision), Silex/Nouvelles du Sud, 2014
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lisa McNee (2003). "Diallo, Koumanthio Zeinab". Katika Simon Gikandi (mhr.). Encyclopedia of African Literature. Routledge. uk. 196. ISBN 978-1-134-58223-5.
- ↑ "Diallo K Zeinab". aflit.arts.uwa.edu.au. Iliwekwa mnamo 2018-04-20.
- ↑ Mohamed Saliou Camara; Thomas O'Toole; Janice E. Baker (2013). Historical Dictionary of Guinea. Scarecrow Press. ku. 221–2. ISBN 978-0-8108-7969-0.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Koumanthio Zeinab Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |