Kifulfulde-Borgu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifulfulde-Borgu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafulbe. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Borgu nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji nchini Togo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Borgu iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Borgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.