Korongo (jiografia)
Mandhari
Kwa maana tofauti ya neno hilo tazama Korongo (maana)
Korongo (kijiografia) ni mfereji mkubwa kama mto usio na maji ya kutiririka mwaka mzima, au mvo wa (bonde la) mmomonyoko.
Hata hivyo chini ya mchanga wake mara nyingi watu huenda kuchota maji katika mazingira ya ukame.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|