Korobindo (Ploceidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Korobindo
Korobindo paji-madoa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Jenasi: Sporopipes
Cabanis, 1847
Spishi: S. frontalis Daudin, 1800

S. squamifrons A. Smith, 1836

Korobindo ni ndege wadogo wa jenasi Sporopipes katika familia Ploceidae. Kuna ndege wengine ambao wanaitwa korobindo katika familia Passeridae. Spishi za Sporopipes zinatokea Afrika tu. Ndege hawa wanafanana na shomoro lakini wana mwenendo kama kwera. Wana rangi ya kahawa au kijivu juu na nyeupe chini. Hula mbegu hasa na beri na wadudu pia. Spishi hizi hulijenga tago lao ndani ya msongo wa manyasi na pengine vijitu pia ambao umebandikiwa tawi ya mti. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]