Korede Bello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Korede Bello

Korede Bello (amezaliwa Lagos, Nigeria mwaka 1996) ni mwanamuziki wa Nigeria aliyesaini mkataba na Marvin records mwaka 2014 akifanya kazi na wanamuziki wengine kama Tiwa savage, Don Jazzy, Reekado Banks. Ameimba nyimbo kama vile Godwin African princes. Anafanya muziki aina ya Afro beat, hip hop pamoja na pop.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Korede Bello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.