Kora (ala ya muziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sona Jobarteh toka Gambia na kora yake

Kora ni ala ya muziki toka Afrika, hasa Afrika ya Magharibi. Kora ni kinubi chenye nyuzi 21, hivyo ni ala za nyuzi (kwa Kiingereza: chordophone).

Wanamuziki mashuhuri ambao hupiga kora ni Mamadou Sidiki Diabate toka Mali ama Sona Jobarteh toka Gambia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Eric Charry, Mande Music : Traditional and Modern Music of the Maninka and Mandinka of Western Africa, University of Chicago Press, 2000.
  • Ousmane Sow Huchard, La kora : objet-témoin de la civilisation manding : essai d'analyse organologique d'une harpe-luth africaine, Presses universitaires de Dakar, Dakar, 2000.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kora (ala ya muziki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.